Fungua
TANZANIA YOUTH NEW FASHION

TANZANIA YOUTH NEW FASHION

Tabora, Tanzania

lengo la shirika ni kuondoa vokwazo vya maendeleo na kuhakikisha kila binadamu anaishi maisha bora na hasa yale makundi yaliyosahaulika na yanayoishi katika mazingira hatarishi.

Mabadiliko Mapya
TANZANIA YOUTH NEW FASHION imeongeza Habari.
Taarifa ya kazi ya uandaaji wa PD Budget iliyofanyika jijini dar kuanzia tarehe 10th2012-12th 2012 – somo hapo juu lahusika – Napenda kutoa taarifa ya kazi iliyofanyika jijini DR LENGO KUU LIKIWA NI UANDAAJI wa budget, pd pamoja na........................... Kwa ajiri ya mwaka mpya unaoanza mwezi 10 -2013 staff walio... Soma zaidi
25 Oktoba, 2012
TANZANIA YOUTH NEW FASHION imeongeza Habari.
RATIBA AMBAYO INAONYESHA SIKU VIKUNDI VYOTE VYA WORTH KATIKA KILA KATA VINAOKUTA NA WAWEZESHAJI WAO. – MWEZESHAJI – KITUO KANDA AMBAPO KIKUNDI KULIPO – MWAKA
8 Septemba, 2012
TANZANIA YOUTH NEW FASHION imeongeza Habari 3.
Hitimisho. Tunapenda kutoa shukurani zetu za dhati kabisa toka ndani ya mioyo yetu kama watumishi wa AICT/CCT pamoja tuwalee kwa meneja na uongozi mzima wa shirika la hifadhi la jamii la NSSF. Sintakuwa mwema wa fadhila na shukurani kamasinto wataja kwa majina maafisa toka hifadhi ya jamii mkoani tabora shirika la NSSF... Soma zaidi
3 Septemba, 2012
TANZANIA YOUTH NEW FASHION imeongeza Habari.
MUHUTASALI WA KIKAOO CHA USAIHILI WA WAWEZESHAJI KUTOKA KATA SABA ZA MANISPAA YA TABORA. – Kikao kilifunguliwa mida ya saa tatu asubuhi na mratibu wa mradi wa pamoja tuwalee kwa kuwakaribisha wafanyakazi wa shirika la Aict pamoja na Muwezeshaji kutoka pact tanzania, watendendaji wa kata saba za manispaa pamoja na afisa usitawi wa... Soma zaidi
29 Agosti, 2012
TANZANIA YOUTH NEW FASHION imeongeza Habari 2.
Utambuzi wa watoto yatima
28 Agosti, 2012
Sekta
Sehemu