c)watoto wanamapungufu makubwa ya mahitaji ya msingi kama vile chakula,elimu na mavazi
d)wananchi na jamii ishirikishwe katika suala zima la kuhudumia watoto walio katika mazingira hatarishi.
e)jamii imezoea kupewa(kupokea) misaada na siyo kujihusisha(kuhusika) katika suala la uchangiaji huduma kwa watoto walio katika mazingira hatarishi
-wazazi na walezi wakiwezeshwa(kuboreshewa) uchumi katika familia wataweza kuwapa watoto wao huduma za msingi.
f)nguvu iongezwe katika suala la uhamasishaji jamii ili ifahamu (itambue) kuwa watotot wote ni sawa na jukumu la kuwalea (kuwatunza) ni la jamii mzima (yote)
g)kwa kutumia kamati za watoto walio katika mazingira hatarishi (mvcc) familia zipwe elimu juu ya kuimarisha kipato ndani ya kaya (familia) kama vile, kwa kujiunga na mpango wa worth familia zitaweza kukidhi mahitaji yao ya msingi na mahitaji ya watoto