kutokana na jiographia ya wilaya yetu ya sikonge baadhi ya kata vijiji vyake vipo mbalimbali sana kwahiyo si rahisi wananchi kukutana kwenye kata moja. mfano kijiji cha matagata kipo mbali sana,
ipg meeting ifanyike kwa kila kijiji ili kuweza kutoa nafasi ya watu kutoa maoni yao wakiwa katika vijiji vyao
18 Julai, 2012