Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

baadhi ya vijiji vipo mbalimbali sana hivyo watu wengi wanashindwa kukutana katika eneo moja..

-marekebisho ya ratiba yafanyike ili kwa wakati mwingine tuweze kufika ngazi ya vijiji na sio kata pekee

e)nimejifunza kufanya kazi kwa kushirikiana na jamii pia kubadilika kulingana na utamaduni wa jamii moja au(ama) nyingine

f)marekebisho ya ratiba ....

g)ratiba izingatie umbali wa eneo husika kulingana na jografia ya eneo la mradi

....jamii imeelewa nini maana ya mradi... na imeahidi kutoa ushirikiano wa kutosha katika kutekeleza mradi

July 18, 2012
« Previous Next »

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.