Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
CHF card zimetolewa 400 kwa kaya 400 wakati wa utekelezaji wa mradi wa jali watoto,kila card 1 inahudumia watoto 4 katika kaya
-masaada wa kadi za matibabu umeendelea kuwa saidia watoto wengi kwa upande wa matibabu pia imeraisisha upatikanaji wa huduma wakati (pindi) watoto wanapo itajihuduma za kiafya
13 Nyakanga, 2012