Envaya

tanzania youth development foundation

IRINGA MANISPAA, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

KUONA VIJANA WANA KUWA NA MAISHA BORA IFIKAPO 2025

Amakuru agezweho
tanzania youth development foundation yakoze Ikipe paje.
1. Ndugu, George Benedict Mng`ong`o ------- Mkurugenzi Mtendaji wa TAYODEF – 2.Ndugu, Barnabasi Ndunguru --------- Katibu mkuu wa TAYODEF – 3.Ndugu, Thom Malenga ----------- Mtunza Hazina wa TAYODEF4 – 4.Ndugu, Michael... Soma ibindi
12 Ukwakira, 2011
tanzania youth development foundation yakoze Imishinga paje.
Tanzania youth development Foundation, Tuna fanya shuguli za Vijana Waliopo Shuleni na wale ambao Hawapo shuleni katika maeneo ya Elimu ya Afya ya uzazi kwa vijana ,kutunza Mazingira yaliyo Haribiwa kwa makusudi, kuwapa vijana Uelewa juu ya Haki za Binadamuna kutoa uelewana mafunzo juu ya jinsia kwa maisha ya jamii... Soma ibindi
12 Ukwakira, 2011
tanzania youth development foundation yashyizeho Amakuru agezweho.
SHIRIKA LA TAYODEF LINA KARIBISHA WADAU WOTE WANAO FANYA SHUGHULI ZA VIJANA
4 Ukwakira, 2011
tanzania youth development foundation yashyizeho Amakuru agezweho.
TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT FOUNDATION NI SHIRIKA LISILO KUWA LA KISERIKALI LILILO ANZISHWA MWAKA 1999 NA KUPATA USAJILI SO. NO. 10747. OFISI ZA SHIRIKA ZIPO MTAA WA SOKO STREET JENGO LA AKIBA HOUSE GHOROFA YA PILI CHUMBA NAMBA 202
3 Ukwakira, 2011
tanzania youth development foundation yasanze Envaya.
3 Ukwakira, 2011
Ibyiciro
Aho uherereye
IRINGA MANISPAA, Iringa, Tanzaniya
Reba ibigo mwegeranye