Tanzania youth development Foundation, Tuna fanya shuguli za Vijana Waliopo Shuleni na wale ambao Hawapo shuleni katika maeneo ya Elimu ya Afya ya uzazi kwa vijana ,kutunza Mazingira yaliyo Haribiwa kwa makusudi, kuwapa vijana Uelewa juu ya Haki za Binadamuna kutoa uelewana mafunzo juu ya jinsia kwa maisha ya jamii ,Mapambano ya maambukizi mapya ya UKIMWI kwa Vijana,, Kutoa mafunzo ya STADI ZA MAISHA NA KAZI na namna ya kudhibiti na kukinga HIV/AIDS/STDS , Vilevile Shughuli zinazo husu masuala ya Utawala Bora na Uwajibikaji kwa juhudi za serikali na Halmashauri za wilaya na manispaa. Pia tuna waunganisha vijana katika suala zima la kufanya mawasiliano na habari kwa vijana. TAYODEF pia imeweza kufanya Tafiti Ndogo jamii shirikishi Vitendo juu ya watoto wanao ishi katika mazingira magumu na hatarishi. Pia tayodef tunampango wa kufanya Mradi Wa ushawishi na utetezi Dhana ya utawala Bora na uwajibikaji kwa vijana waliopo katika shule za sekondari .KUfanya Matamasha mbalimbali.