Fungua
tanzania youth development foundation

tanzania youth development foundation

IRINGA MANISPAA, Tanzania

TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT FOUNDATION NI SHIRIKA LISILO KUWA LA KISERIKALI LILILO ANZISHWA MWAKA 1999 NA KUPATA USAJILI SO. NO. 10747. OFISI ZA SHIRIKA ZIPO MTAA WA SOKO STREET JENGO LA AKIBA HOUSE GHOROFA YA PILI CHUMBA NAMBA  202

3 Oktoba, 2011
Ifuatayo »

Maoni (1)

Tanzania youth development foundaton Ni wadau wa maendelelo katika Halmashauri za wilaya na Manispaa ya iringa, Shuguli zetu tuna toa mafunzo ya stadi za maisha na kazi ,Ushawshi na utetezi mapambano ya maambukizi mapya ya UKIMWI, Elimu ya Afya ya uzazi Elimu ya Uraia na utawala bora, kufanya tafiti ndogo jamii shirikisi vitendo kwa vijana waliopo shuleni na nje ya shule
3 Oktoba, 2011

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.