Fungua
Tanzania Albino Society

Tanzania Albino Society

Lindi Manispaa, Tanzania

Kulinda na Kutetea Haki za Binadamu zikiwamo Haki za Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi (Albino).

Mabadiliko Mapya
Tanzania Albino Society imetoa FCS Narrative Report.
22 Juni, 2011
Tanzania Albino Society imeongeza Habari 2.
22 Juni, 2011
Tanzania Albino Society imeumba ukurasa wa Miradi.
Taasisi ya Watu wenye Ulemavu wa Ngozi - Tawi la Lindi au kwa lugha ya Kiingezreza Tanzania Albino Society (TAS) - Tawi la Lindi imetekeleza mradi wa Kujenga Uwezo na Uelewa kwa Watu wenye Ulemavu kuhusu Sera ya Taifa ya Walemavu kwa watu wenye ulemavu na wadau wengine kutoka katika Kata 5 za Manispaa ya Lindi. Kata hizo ni; Mingoyo, Ng'apa,... Soma zaidi
22 Juni, 2011
Tanzania Albino Society imejiunga na Envaya.
4 Juni, 2011
Sekta
Sehemu
Lindi Manispaa, Lindi, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu