Parts of this page are in Swahili. Edit translations
FCS Narrative Report
Introduction
Tanga Civil Societies Coalition
TASCO
Kuimalisha Uhusiano na Uwajibikaji wa Wabunge kwa Wananchi katika ngazi ya Majimbo
FCS/MG/SC/11/008
Dates: March to May 2012 | Quarter(s): 2 |
David Chanyeghea
Project Description
Governance and Accountability
Kuendesha Midahalo ya wananchi katika Majimbo 5 ya Mkoa wa Tanga, Pangani, Kilindi, Mkinga, Handeni na Tanga. Ambapo wananchi wanapata fursa ya kuongea na viongozi wao na kuchangia mawazo ya nini kifanyike katika kuimarisha mahusiano na kutatua matatizo yanayo wakabili katika Jimbo husika, mbali na washiriki wa midahalo lakini pia kutumia vyombo vya habari (Radio) ambayo wanachi wanapata fursa ya kusikia mdahalo ukiendeshwa moja kwa moja
Region | District | Ward | Villages | Total Beneficiaries |
---|---|---|---|---|
Tanga | Tanga | 250 | ||
Handeni | 250 | |||
Pangani | 250 | |||
Kilindi | 250 | |||
Mkinga | 250 |
Direct Beneficiaries | Indirect Beneficiaries | |
---|---|---|
Female | 500 | 50000 |
Male | 750 | 75000 |
Total | 1250 | 125000 |
Project Outputs and Activities
Kuwa na uhusiano mzuri baina ya Viongozi: Wabunge, madiwani, wenyeviti wa vijiji/mtaa watendaji katika Majimbo/Wilaya
Kufanya Midahalo ya wananchi na viongozi katika Majimbo 5, Kilindi, Pangani, Handeni, Tanga na Mkinga.
Kuendesha Midahalo ya wananchi na viongozi kuhusu Mahusiano kati ya wananchi na viongozi wa kuchaguliwa katika Majimbo 5, Mkinga. Tanga, Kilindi, Pangani na Handeni iliendeshwa Kati ya Mwezi March na April 2012
(No Response)
1. Kuendesha Midahalo Pangani, Kilindi, Mkinga, Handeni na Tanga 33,200,000
2. Ghalama za Utawala 4,161,000
2. Ghalama za Utawala 4,161,000
Project Outcomes and Impact
Kuwa na mahusiano mazuri baina ya viongozi (wabunge, madiwani, wenye viti wa mitaa na watendaji) na wananchi katika Jimbo/Wilaya
1. Wananchi kudai kuwa na Mikataba na viongozi wa kuchaguliwa ili wakiivunja wananchi waweze kuchukua hatua
2.wananchi kuwa na hamasa kubwa yakufanya ufuatiliaji wa uwajibikaji wa viongozi wao kwa wananchi
3. waheshimiwa wabunge na madiwani kuanza kuwa karibu na wananchi wao, wakihofia kwamba wananch wamekuwa na uelewa zaidi juu ya haki zao
2.wananchi kuwa na hamasa kubwa yakufanya ufuatiliaji wa uwajibikaji wa viongozi wao kwa wananchi
3. waheshimiwa wabunge na madiwani kuanza kuwa karibu na wananchi wao, wakihofia kwamba wananch wamekuwa na uelewa zaidi juu ya haki zao
TASCO kuwa karibu na viongozi wa majimbo/Wilaya ambapo imeombwa kufika katika ngazi za kata ili kuwahamasisha wananchi kushiriki katika michakato ya maendeleo na kuwawajibisha viongozi ambao hawaendi sawasawa na wajibu wao kama viongozi kiupitia mikutano ya Vijiji
(No Response)
Lessons Learned
Explanation |
---|
Wananchi wengi hawakuwa wakishiriki mikutano ya vijiji inapoitishwa, mfano Wilaya ya Mkinga walijisuta wenyewe na kusema kwamba sasa watakuwa mstali wa mbele |
Madiwani wengi hawajui wajibu wao katika ofisi wengi wanawalaumu watendaji wa Kata kwamba hawawapi taarifa za miradi |
Wenyeviti wa vijiji hawajui kwa usahihi majukumu yao, wengi wameomba kueleweshwa kwa uwazi majukumu yao ili waweze kwenda na wakati |
Waheshimiwa wabunge hawako karibu na wananchi wao, mfano mzuri ni Mbunge wa Pangani, hajawahi kuitisha kikao na wananchi wa Jimbo la Pangani |
Challenges
Challenge | How it was overcome |
---|---|
Madiwani walidai kulipwa wanaposhiriki midahalo | Tuliwakumbusha kwamba tunaasidia kuwakutanisha na wananchi wao, hivyo walipaswa kushukuru badala ya kudai kulipwa posho ya kushiriki |
Mkurugenzi wa halmashauri ya Handeni alipinga kuendeshwa kwa mdahalo katika Wilaya ya Handeni, kwa madai ya kwamba hatukuwa na kibali cha kuendesha mdahalo | tulimwambia hatukuwa na haja ya kibali kwa kuwa tunafanyia ukumbini na Mwanye hoteli alituambia nafasi ipo kwa hiyo hatukuwa na haja ya Kibali, aidha tulimfundisha sheria kwamba vibali hata kama vinaombwa si kwa Mkurugenzi bali kwa polisi ambao ndio wanaolinda usalama kama vurugu itatokea |
Linkages
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Asasi za Wilaya?Jimbo husika | Kutupa uzoefu wa eneo (venue) ambayo ni maridhawa kwa Jimbo husika |
Waheshimiwa Wabunge/makatibu wao | Kupanga ratiba kulingana na ratiba za wabunge katika jimbo |
Wakuu wa Wilaya | Katika wilaya zote wamekuwa Wageni rasmi katika Kufungua midahalo |
Future Plans
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Midahalo juu ya Mabadiliko ya tabia nchi | v | ||
Tathmini na ufuatiliaji | v | v |
Beneficiaries Reached
Direct Beneficiaries | Indirect Beneficiaries | ||
---|---|---|---|
Widows | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
People living with HIV/AIDS | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Elderly | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Orphans | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Children | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Disabled | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Youth | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Other | Female | 500 | 50000 |
Male | 750 | 75000 | |
Total | 1250 | 125000 |
(No Response)
Events Attended
Type of Event | When | Lessons | Actions Taken |
---|---|---|---|
Information session | September 2009 | namna ya kuandika miradi inayofadhiliwa na FCS | Tumeandika Miradi ambayo tulifanikiwa kupata ufadhili toka FCS |
Annual forum | 2009,2010 and2011 | Kujifunza toka kwa washiriki wengine namana wanavyo tekeleza miradiyao kwa ufanisi | Kuboresha maeneo ambayo yalikuwa hayako vizuri sana katika utekelezaji wa miradi kulingana na kulingana na mambo chanya tuliyojifunza kutoka kwa washiriki wenzetu |
Simamia mradi wako | December 2010 | Namana ya kusimamia mradi kwa ufanisi na kutoa taarifa zilizo bora | Kusimamia miradi vizuri kulingana na stadi tulizo pata kwenye mafunzo |
Mafunzo ya kushirikishana uzoefu miongoni mwa wafadhiliwa wa FCS | September 2011 | Utunzaji wa Vitabu | Kuboresha na kufanya marekebisho chanya kwenye mfumo wetu wa fedha kulingana na tulicho jifunza |