Fungua
Tanga Civil Societies Coalition

Tanga Civil Societies Coalition

Tanga, Tanzania

FCS Narrative Report

Utangulizi

Tanga Civil Societies Coalition
TASCO
Kuimalisha Uhusiano na Uwajibikaji wa Wabunge kwa Wananchi katika ngazi ya Majimbo
FCS/MG/SC/11/008
Tarehe: December 2011-February 2012Kipindi cha Robo mwaka: Kwanza
David Chanyeghea

Maelezo ya Mradi

Utawala Bora na Uwajibikaji
Kuendesha Midahalo ya wananchi katika Majimbo 5 ya Mkoa wa Tanga, Pangani, Kilindi, Mkinga, Handeni na Tanga. Ambapo wananchi wanapata fursa ya kuongea na viongozi wao na kuchangia mawazo ya nini kifanyike katika kuimarisha mahusiano na kutatua matatizo yanayo wakabili katika Jimbo husika, mbali na washiriki wa midahalo lakini pia kutumia vyombo vya habari (Radio) ambayo wanachi wanapata fursa ya kusikia mdahalo ukiendeshwa moja kwa moja
MkoaWilayaKataVijijiIdadi ya Wanufaika
TangaTanga250
Kilindi250
Handeni250
Pangani250
Mkinga250
 Walengwa wa moja kwa mojaWalengwa wasio wa moja kwa moja
Wanawake50050000
Wanaume75075000
Jumla1250125000

Shughuli na Matokeo ya Mradi

Kuwa na uhusiano mzuri baina ya Viongozi: Wabunge, madiwani, wenyeviti wa vijiji/mtaa watendaji katika Majimbo/Wilaya
Kufanya Midahalo ya wananchi na viongozi katika Majimbo 5, Kilindi, Pangani, Handeni, Tanga na Mkinga.
Midahalo ya Mchakato wa katiba mpya Tanzania katika Majimbo 5, Mkinga. Tanga, Kilindi, Pangani na Handeni iliendeshwa Kati ya Mwezi Januari na February 2012
(Hakuna jibu)
1. Kuendesha Midahalo Pangani, Kilindi, Mkinga, Handeni na Tanga 33,200,000

2. Ghalama za Utawala 4,161,000

Mafanikio au Matunda ya Mradi

Kuwa na mahusiano mazuri baina ya viongozi (wabunge, madiwani, wenye viti wa mitaa na watendaji) na wananchi katika Jimbo/Wilaya
1. Uelewa wa wananchi kuhusu katiba umeongezeka. Wananchi wamejiandaa vyema kutoa maoni yao siku tume ya kukusanya maoni itakapo tembelea majimbo yao

2. Vipaumbele vya wananchi kuhusiana na Mchakato wa katiba mpya kuingizwa kwenye katiba
1. Hamasa waliyonayo wananchi katika kuleta mabadiliko kupitia katiba

2. wananchi kutokuwa na uwoga tena kuongea mbele ya viongozi wao
(Hakuna jibu)

Mambo Mliyojifunza

Maelezo
Wananchi wengi hawakuwa wakiijua katiba, mfano mwanachi mmoja katika jimbo la Pangani aliiomba katiba kutoka kwa Muwezeshaji ili angalau aiguse kwa mkono wake naa baadae aliibusu
Viongozi wa Kuchaguliwa kutokuwa na muda wakujadiliana masuala mbalimbali na wanachi wao
Wabunge wengi si wawajibikaji katika Majimbo yao, mfano mzuri ni Mbunge wa Pangani ambaye hata wananchi walilalamika kutomuona kwenye mdahalo huo na kusema ndivyo alivyo
Viongozi wanaogopa kuizungumzia katiba, mfano Mkuu wa Mkoa wa Tanga alikimbia siku ya mwisho kufungua Mdahalo, kwa sababu ambazo awali alisema yuko sagfarini, lakini kwa kuwa tulifanyia mdahalo kwenye Jengo la ofisi yake tulimuona tulipo fika, Mdahalo ulipo anza aliondoka, Mkuu wa Wilaya ya pangani awali alizuia mdahalo usifanyike baada ya kupata taarifa kwa mwenzake wa Korogwe na Kilindi kwamba midahalo ilikuwa na mafundisho mazuri kwao, alituita kufanya katika Wilaya yake na kukiri mwenyewe kwamba awali alikuwa na wasiwasi

Changamoto

ChangamotoNamna mlivyokabiliana nazo
Washirki kutaka kulipwa nauli ya wanako tokaTuliwaeleza kinaga ubaga kwamba hatuna hiyo bajeti, lakini pia kwamba kushiriki kwao ni kwa faida yao na watoto wao
Baadhi ya wabunge kutoshiriki hata baada ya kukubaliana tarehe ya Mdahalo kabla ya kuwaandikiaKwenye majimbo yao tulifanya bila wao kuwepo
Madiwani kutoshiriki katika Midahalo kwakuwa haina poshoTumewashitaki kwa wapiga kura wao na sisi kuendelea na mdahalo bila wawao kuwepo

Mahusiano

WadauNamna mlivyoshirikiana nayo
Asasi za Wilaya/Jimbo husikaKutupa uzoefu wa eneo (venue) ambayo ni maridhawa kwa Jimbo husika
Wabunge/Makatibu wa WabungeKupanga ratiba kulingana na ratiba za wabunge katika jimbo
Wakuu wa WilayaKatika wilaya zote wamekuwa Wageni rasmi katika Kufungua midahalo

Mipango ya Baadae

Shughuli ZilizopangwaMwezi wa 1Mwezi wa 2Mwezi wa 3
Midahalo ya Ushiriki na mahusiano kati ya wananchi na Wabunge, madiwani na wenyeviti wa Vijiji/mitaa katika maeneo yaov

Walengwa Waliofikiwa

    Walengwa wa moja kwa mojaWalengwa wasio wa moja kwa moja
Wajane na WaganeWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Watu wanaoishi na VVU/UKIMWIWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
WazeeWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Watoto YatimaWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
WatotoWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Watu wenye UlemavuWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
VijanaWanawake(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Wanaume(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Jumla(Hakuna jibu)(Hakuna jibu)
Watu wengineWanawake50050000
Wanaume75075000
Jumla1250125000
(Hakuna jibu)

Matukio Mliyoyahudhuria

Aina ya TukioLiniMambo uliyojifunzaHatua zilizochukuliwa
information sesion September 2009namna ya kuandika miradi inayofadhiliwa na FCSTumeandika Miradi ambayo tulifanikiwa kupata ufadhili toka FCS
Annual Forum2009,2010 nq 2011Kujifunza toka kwa washiriki wengine namana wanavyo tekeleza miradiyao kwa ufanisiKuboresha maeneo ambayo yalikuwa hayako vizuri sana katika utekelezaji wa miradi kulingana na kulingana na mambo chanya tuliyojifunza kutoka kwa washiriki wenzetu
Simamia mradi wakoDecember 2010Namana ya kusimamia mradi kwa ufanisi na kutoa taarifa zilizo boraKusimamia miradi vizuri kulingana na stadi tulizo pata kwenye mafunzo
Mafunzo ya kushirikishana uzoefu miongoni mwa wafadhiliwa wa FCSSeptember 2011Utunzaji wa VitabuKuboresha na kufanya marekebisho chanya kwenye mfumo wetu wa fedha kulingana na tulicho jifunza

Viambatanisho

« Iliyotangulia Ifuatayo »

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.