Parts of this page are in Swahili. Edit translations
FCS Narrative Report
Introduction
SHANGWE COUNSELING CENTRE
SHAC
Imarisha Utawala bora kwa wanawake Vijijini
FCS/MG/2/10/099
Dates: March 2012 - May 2012 | Quarter(s): 4 |
Samuel Philimon Ngwipa
Project Description
Governance and Accountability
Mradi huu unakidhi malengo muhimu ya eneo tulilochagua kwa sababu unalenga katika kuimarisha utawala bora kwa njia ya kutoa elimu ya haki za wanawake ambao ndio walengwa hasa wa mradi ikiwemo kuwashirikisha katika mipango mbalimbali ya maendeleo ili waweze kufaidika na huduma mbalimbali za jamii zinazotolewa na serikali na wadau wengine waliokatika mapambano ya kupambana na umaskini katika jamii.
Region | District | Ward | Villages | Total Beneficiaries |
---|---|---|---|---|
Mbeya | Rungwe | Bujela, Bulyaga,Lufingo, Mpuguso, Kisondela, Kyimo | Simike, Kalalo, Kagwina,Itete,Lugombo,Ipongola,Igalabwe, Bulyaga juu, Igamba, Bulyaga kati,Mtindo,Bugoba,Lutete,Kisuba,Ndubi,Kibatata,Nampuga,Ilenge,Isyukula,Kibisi,Kyimo, Katabe,Mibula,Ipumbuli,Isaji,Bujela,Isongola,Ipombo,Kyamandege,Segela | 50 |
Direct Beneficiaries | Indirect Beneficiaries | |
---|---|---|
Female | 39 | (No Response) |
Male | 11 | (No Response) |
Total | 50 | (No Response) |
Project Outputs and Activities
Mkutano wa pamoja wa tathmini kwa kushirikiana na wadau wengine umefanyika. Mtathimini kutoka nje ameweza kufanya tathmini kwa mradi husika.
Kufanya mkutano na wadau wengine wa Shangwe kwa ajili ya kutathmini shughuli za mradi zilizofanyika, wadau kama mashirika yasiyo ya kiserikali, jamii, walengwa na uongozi kutoka Wilayani walihudhulia mkutano huu.
- Kufanya tathmini kwa kupitia mtathmini wa nje ambaye ni Planet Vision
- Kufanya tathmini kwa kupitia mtathmini wa nje ambaye ni Planet Vision
Mafanikio katika kipindi hiki ni kwamba jamii imeweza kutatua matatizo mbalimbali yanayowakabili wanawake kabla ya kuyafikisha katika vyombo vya sheria na hivyo kuongezeka kwa amani na utulivu katika jamii,mfano katika kata ya Kisondela na Lufingo kesi 6 za wanawake walionyang`anywa mali zimeweza kutatuliwa na wao wenyewe baada ya kupata mafunzo
Hakuna
Kufanya Tathmini ya pamoja na wadau wengine - 5, 400,000/=
Kufanya tathmini na Mtathmini toka nje- 700,000
Kufanya tathmini na Mtathmini toka nje- 700,000
Project Outcomes and Impact
Kuongezeka kwa vikundi vya maendeleo vya wanawake toka 3 hadi 6 katika kata 3 za kisondela, Lufingo na Bulyaga na hivyo kupunguza umaskini kwa wanawake, Pia hali ya jamii kuweza kusimamia haki za wanawake bila gharama yoyote
Jamii kuweza kusimamia kesi zinazohusu haki za wanawake na kuweza kurahisisha na kupunguza gharama kama ilivyokuwa awali kwani ingemlazimu mlalamikaji kufuatilia hatua za kisheria ambazo zingeweza kumpa gharama yeye pamoja na asasi
Viongozi wa Vijiji kusimamia kwa umakini haki za wanawake na kuziweka kama agenda ya kudumu.
Hakuna
Lessons Learned
Explanation |
---|
Jamii inauwezo mkubwa wa kutatua matatizo ya wanawake na hivyo kumaliza changamoto nyingi zinazowakabili wanawa ke vijijini hasa wajane. |
Viongozi wa Vijiji na kata na kata wanawajibu mkubwa wa kusimamia haki za wanawake na kuweza kutatua matatizo yao |
Wanawake waliokatika vikundi mbalimbali vya maendeleo wameonyesha mfano mzuri katika jamii kuliko wasio katika vikundi kwani wamepeleka watoto wao shule kupitia mikopo midogomidogo wanayopata yenye riba nafuu |
Wanaume wakizidi kuelimishwa kuhusu haki za binadamu na wanawake tatizo la unyanyasaji wa mwanamke litakuwa histioria. |
Challenges
Challenge | How it was overcome |
---|---|
Changamoto iliyopo ni kwa namna gani tunaweza kuzifikia kata zote za Wilaya ya Rungwe kwani kata za jirani ambazo ni karibu na kata tunazohudumia zimetoa malalamiko yao kwa Mkuu wa Wilaya kwamba nao pia wanahitaji mafunzo hayo | Tuliweza kuwaomba wale wakufunzi waweze kuelimisha japo kwa kiwango kidogo mpaka tutakapofanya mawasiliano na mfadhili wa mradi huu ambaye ni FCS |
Linkages
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Planet Vision | Kufanya tathmini ya mradi |
Kihumbe Organization | Kushiriki katika mkutano wa pamoja wa tathmini |
Viongozi wa kata na Vijiji | Kushiriki katika mkutano wa pamoja wa tathmini |
Future Plans
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Hakuna kwani Mradi umekamilika |
Beneficiaries Reached
Direct Beneficiaries | Indirect Beneficiaries | ||
---|---|---|---|
Widows | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
People living with HIV/AIDS | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Elderly | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Orphans | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Children | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Disabled | Female | 1 | (No Response) |
Male | 3 | (No Response) | |
Total | 4 | (No Response) | |
Youth | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Other | Female | 39 | (No Response) |
Male | 11 | (No Response) | |
Total | 50 | (No Response) |
(No Response)
Events Attended
Type of Event | When | Lessons | Actions Taken |
---|---|---|---|
Hakuna kwa kota hii |