Log in
SOCIO-ECONOMIC DEVELOPMENT TRUST FUND

SOCIO-ECONOMIC DEVELOPMENT TRUST FUND

Musoma Town, Tanzania

Parts of this page have been translated from Swahili to English. View original · Edit translations

Tangia kuanzishwa kwa shirika hili ,hatujawahi kupata mfadhili wa aina yeyote kwa ajili kufadhiliwa kwa miradi mbalimbali. Kwa hiyo basi shirika linaomba wafadhili wa aina yoyote ile kuhusiana na shughuli zetu apate kutusaidia. Hata wafadhili wa kujitolea pia tunawakaribisha.

Kwa yeyote ambaye yuko tayari kwa kutoa misaada ya aina mbalimbali anaweza kutumia SOCIO-ECONOMIC DEVELOPMENT TRUST FUND A/C No. 01J1062711400 iliyoko katika Bank ya CRDB Tawi la Mukendo.