Hellow mr Athanas Haule, SOCIAL AND ECONOMIC DEVELOPMENT INITIATIVES OF TANZANIA (SEDIT) asante kwa ujumbe wako wa kuhitaji Huduma za VICOBA. SEDIT tuna utaalamu wa kutosha wa kutoa mafunzo ya VICOBA. Uzoefu wetu ni wa miaka kumi hadi sasa tukiwa tumefanya kazi kwa kushirikiana na mashirika mbalimbali ya ndani na nje ya nchi. Zaidi ya miradi 20 imefanywa nasi katika kipindi hicho cha miaka 10. Watanzania wengi wamepata huduma zetu tena kwa mafanikio makubwa. Waweza kutupatia namba zako za simu ili tuweze kuongea nawe kwa kirefu namna gani tunaweza kufungua milango ya kushirikiana nawe/nanyi katika jambo hili la kuisaidia jamii through VICOBA savings and lending scheme.
kwa mawasiliano zaidi you can call 0713 602390 or 0786 951999 or 0787 909046, 0769 453538.
Asante
B. D. WADELANGA
SEDIT Executive Director