Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

JE UNASHIRIKI VIPI KATIKA JAMII KATIKA KUMUOKOA MTOTO ANAYEISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU

SAVE THE CHILDREN CHRISTIAN MINISTRY (IRINGA REGION)
July 7, 2012 at 7:58 PM EAT (edited July 7, 2012 at 8:02 PM EAT)
Sote tunafahamu kuwa mtoto ni taifa la kesho je wewe kama mzazi,mlezi unashiriki vip kumuaandaa huyu mtoto ili aweze kupata mwanga wa kuweza kujitambua na kufanikisha malengo yake bila kipingamizi cha aina yoyote?

Add New Message

Invite people to participate