Fungua
Save Lives Organization Trust Fund

Save Lives Organization Trust Fund

Manispaa Morogoro, Tanzania

Kuendeleza ustawi wa kazi zote za jamii hasa elimu, Afya, utoaji wa huduma muhimu kwa maisha ya binadamu kimwili na mambo ya kiuchumi ili kuifanya dunia mahali pazuri pa kuishi
Mabadiliko Mapya
Save Lives Organization Trust Fund imehariri ukurasa wa Timu.
Ipyana Jubeck Mapassa – Mkurugenzi Mtendaji – P.O.Box 5180 – Simu Na. +255656591124, +255788591124 – Morogoro - Tanzania – Alfred Samwel Mdee – Chief Accountant – Member Of The Board of Trustee – P.O.Box 5180 – Mawenzi Morogoro ... Soma zaidi
23 Julai, 2010
Save Lives Organization Trust Fund imehariri ukurasa wa Historia.
Save lives organization Trust Fund Tanzania ni taasisi isiyo ya kiserikali, kidini wala si ya mtu binafsi. Ni taasisi ya kiraia ambayo ilianzishwa kwa ajili ya jamii nzima. – Kama lilivyo jina lake, taasisi hii ilianzishwa mwaka 2005 na waanzilishi wa taasisi hii ambao ni Mchungaji Jubeck T. Mapassa wa kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la... Soma zaidi
13 Julai, 2010
Save Lives Organization Trust Fund imeongeza Habari.
baadhi ya watoto wakiwa na nyuso za furaha baada ya kupata msaada wa mavazi kutoka kwa wasamalia mbalimbali.
14 Juni, 2010
Save Lives Organization Trust Fund imeongeza Habari.
Mkurugenzi wa shirika Bwana Ipyana Mapassa akiimba pamoja na watoto wakati alipofanya zoezi la ugawaji wa mahitaji mbalimbali yakiwemo mavazi kwa watoto wa eneo la Melela.
14 Juni, 2010
Save Lives Organization Trust Fund imeumba ukurasa wa Historia.
Save lives organization Trust Fund Tanzania ni taasisi isiyo ya kiserikali, kidini wala si ya mtu binafsi. Ni taasisi ya kiraia ambayo ilianzishwa kwa ajili ya jamii nzima. – Kama lilivyo jina lake, taasisi hii ilianzishwa mwaka 2005 na waanzilishi wa taasisi hii ambao ni Mchungaji Jubeck T. Mapassa wa kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la... Soma zaidi
5 Juni, 2010
Sekta
Sehemu
Manispaa Morogoro, Morogoro, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu