Log in
Save Lives Organization Trust Fund

Save Lives Organization Trust Fund

Manispaa Morogoro, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

baadhi ya watoto wakiwa na nyuso za furaha baada ya kupata msaada wa mavazi kutoka kwa wasamalia mbalimbali.

large.jpg

Mkurugenzi wa shirika Bwana Ipyana Mapassa akiimba pamoja na watoto wakati alipofanya zoezi la ugawaji wa mahitaji mbalimbali yakiwemo mavazi kwa watoto wa eneo la Melela.

large.jpg

Baadhi ya wafanyakazi wa shirika wakionekana katika eneo la stand ya mkoa Mbeya katika ziara ya kutembelea shule za Sekondari katika wilaya ya Ileje mkoani Mbeya wakati wa uhamasishaji wa upimaji Virusi vya UKIMWI kwa hiyari. May 10-15 2010
Shirika liko katika hatua za mwisho za kuanzisha huduma ya ushauri nasaha na upimaji wa Hiyari wa Virusi vya UKIMWI kwa wakazi wa Mkoa wa Morogoro kuanzia Jumatatu ya Tar 7/06/2010.....

Wote mnakaribishwa!!!!!!!!!