matatizo mengi ambayo watoto wanayapata ni pamoja na kutumikishwa kwa kupewa kazi zilizo nje ya uwezo wao, kuzalilishwa kijinsia kwa mfano picha zinazo wekwa kwenye internet yani internet children ponorgraph na children prostitution hili swala ndilo limekisili kwa asilimia kubwa kwa watoto. je tufanye nini ili kuondoa hili haya matatizo