Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
JUKUMU LA KULEA WATOTO NI LETU SOTE.
benardina mwita (dar-es-salaam)
29 Nzeli, 2012 at 15:43 EAT
Asilimia kubwa ya wa kina baba wamekuwa wakiwaachia wakina mama swala la malezi ya watoto.baba na mama wote mnatakiwa kuwa mstali wambele katika kuwalea watoto si mzazi mmoja.