Asilimia kubwa ya wa kina baba wamekuwa wakiwaachia wakina mama swala la malezi ya watoto.baba na mama wote mnatakiwa kuwa mstali wambele katika kuwalea watoto si mzazi mmoja.