Picha ya pamoja kati ya Mchungaji mkuu wa ufufuo na Uzima Paul Joshua akiwa na wazee baada ya kupewa nguo na kuvishwa na mtumishi huyo wa Mungu. Wazee walikaribishwa kuhudhuria ibada ya shukrani iliyoandaliwa na mchungaji huyo. Walitokea kituo cha Wazee SILABU
13 Desemba, 2019