Log in
PEOPLES' WELFARE AND DEVELOPMENT ORGANIZATION (PWADO)

PEOPLES' WELFARE AND DEVELOPMENT ORGANIZATION (PWADO)

MWANZA, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

FCS Narrative Report

Introduction

PEOPLES' WELFARE AND DEVELOPMENT ORGANIZATION (PWADO)
PWADO
KUIMARISHA UWEZO WA ASASI YA PWADO KATIKA KUSIMAMIA NA KUENDESHA SHUGHULI ZAKE
FSC/RSG/2/11/269
Dates: Januari1, 2012 hadi 30 Machi 2012Quarter(s): 2012
Raphael Lupoja Mome
S.L.P 8004, Mwanza

Project Description

Civil Society Capacity Strengthening
Kujenga uwezo wa Wanachama na Viongozi wa PWADO katika kupanga, kusimamia na kutekeleza shughuli za miradi ya Shirika la PWADO.
RegionDistrictWardVillagesTotal Beneficiaries
MwanzaNyamaganaIgomaShamaliwa, Mtaa wa Mtakuja.15
 Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
Female770
Male660
Total13130

Project Outputs and Activities

1.1 Kuongezeka kwa uelewa wa uwajibikaji wa viongozi na wanachama wa asasi ya PWADO katika uendeshaji na uendelezaji wa miradi.

2.1 Kuongezeka kwa uelewa wa uwajibikaji wa viongozi na wanachama 13 wa asasi ya PWADO katika usimamizi wa miradi na uendeshaji wa miradi.
3.1 Kuongezeka kwa uelewa wa uandaaji wa mpango mkakati kwa viongozi na wanachama 13.
4.1 Mpango mkakati wa asasi ya PWADO wa miaka 3 umepatikana.

5.1 kuongezeka kwa uelewa juu ya usimamizi na utunzaji wa fedha kwa viongozi na wanachama 13.
6.1 Mwongozo wa fedha wa asasi ya PWADO umeandaliwa.

7.1 Ufuatiliaji na tathmini wa mradi umefanyika.

8.1 Ofisi ya PWADO inaendesha shughuli zake kwa ufanisi.
1.1 Kuendesha mafunzo ya uendeshaji na uendelezaji wa asasi kwa viongozi na wanachama 13 wa asasi ya PWADO kwa siku 2 ifikapo desemba 2011.

2.1 Kuendesha mafunzo ya usimamizi na uendeshaji wa miradi wa asasi kwa viongozi na wanachama 13 kwa siku 2 ifikapo desemba 2011.

3.1 Kuendesha warsha ya siku 3 kuhusu uandaaji wa mpango mkakati kwa viongozi na wanachama 13 ifikapo desemba 2011.

4.1 Kuandaa mpango mkakati wa asasi ya PWADO wa miaka 3 ifikapo desemba 2011.

5.1 Kuendesha warsha ya siku 2 kuhusu usimamizi na utunzaji wa fedha kwa viongozi na wanachama 13 wa asasi ya PWADO ifikapo desemba 2011.

6.1 Kuandaa mwongozo wa fedha wa asasi ya PWADO ifikapo desemba 2011.

7.1 Kufanya ufatiliaji na tathimini.

8.1 Gharama za utawala.
1.1 Mafunzo ya uendeshaji na uendelezaji wa asasi kwa viongozi na wanachama 13 yalifanyika tarehe 30/1/2012 hadi 31 katika Ukumbi wa VETA –Mwanza Mjini.

-Wanachama na viongozi 13 wa Asasi ya PWADO walijengewa uwezo.

2.1 Mafunzo ya usimamizi na uendelezaji wa miradi ya asasi ya PWADO yalifanyika kwa viongozi na wanachama 13, wanaume 6, wanawake 7 katika ukumbi wa VETA – Mwanza.

- Viongozi na wanachama 13 walipata uelewa wa jinsi ya kusimamia na kuendesha miradi.

3.1 Mafunzo ya uandaaji wa mpango mkakati yalifanyika kwa viongozi na wanachama 13 (me 6, ke 7) katika ukumbi wa VETA Mwanza.

Wanachama na viongozi walishiriki pia kutengeneza mpango mkakati wa miaka 3.

4.1 Mpango mkakati wa miaka 3 uliandaliwa. Wanachama na viongozi wa asasi walishiriki kutengeneza mpango mkakati wa PWADO.

5.1 Mafunzo ya siku 2 kuhusu usimamizi na utunzaji wa fedha kwa viongozi na wanachama 13.

6.1 Mwongozo wa fedha wa Asasi uliandaliwa. Viongozi na wanachama wa PWADO pia walipitishwa juu ya mpango huo na kuubariki.

7.1 Ufuatiliaji na tathimini ilifanyika na mradi umekamilika .

8.1 Ofisi ya PWADO iliendesha shughuli zake kwa ufanisi kama ilivyopangwa.


Mafunzo hayakufanyika kwa muda uliopangwa sababu ya kuchelewa kupata fedha ya Ruzuku kutoka The Foundation for Civil Society (fedha ilipatikana mwezi desemba 2011 mwishoni.
Shughuli na. 1 Tsh. 961,200/= zilitumika.

Shughuli na. 2 Tsh. 961,200/= zilitumika.

Shughuli na. 3 Tsh. 1,381,200/= zilitumika.

Shughuli na. 4 Tsh. 722,000/= zilitumika.

Shughuli na. 5 Tsh. 902,400/= zilitumika.

Shughuli na. 6 Tsh. 660,000 /= zilitumika.

Shughuli na. 7 Tsh. 120,000/= zilitumika.

Gharama za utawala 1,712,400 zilitumika.

Project Outcomes and Impact

Asasi ya PWADO inaongozwa kwa kuzingatia mipango ya muda mrefu na mifupi, utawala bora na usimamizi wa fedha ifikapo desemba 2011.
- Kuongezeka kwa uwajibikaji wa viongozi na wanachama katika usimamizi wa miradi na uendeshaji wa asasi ya PWADO.

- Kuwepo kwa mpango mkakati wa asasi wa miaka 3.

- Mwongozo wa usimamizi wa fedha umeandaliwa na unatumika.
Wanachama na viongozi wa Asasi ya PWADO wameanza kuibuia miradi mbalimbali ya maendeleo kwa kuweka vipaumbele mbalimbali katika maeneo wanayoishi.
- Hapakuwepo na mpango mkakati wala mwongozo wa fedha kabla ya mradi huu kuanza kutekelezwa.

- Uelewa mdogo wa maswala ya fedha kabla ya mradi kuanza kutekelezwa.

Lessons Learned

Explanation

Wanachama na viongozi wa Asasi ya PWADO wameelewa jinsi ya kuendesha miradi mbalimbali

Wanachama na viongozi wa asasi ya PWADO wameelewa namna ya kuandaa mpango shirikishi jamii kwa maendeleo ya jamii.

Wanachama na viongozi wa asasi ya PWADO wameelewa namna ya kusimamia fedha za miradi mbalimbali.


Wanachama na viongozi wa asasi ya PWADO wameelewa namna ya kuweka vipa umbele katika matatizo mbalimbali yanayohusu jamii.

Wanachama na viongozi wa asasi ya PWADO wameelewa namna ya kufuatilia kutathmini shughuli mbalimbali za miradi ya maendeleo.

Ofisi ya PWADO inaendesha shughuli zake kwa ufanisi baada ya kupata vitendea kazi.

Challenges

ChallengeHow it was overcome

Mda wa mafunzo ulikuwa mdogo kulingana na uhitaji wa washiriki

Mwezeshaji alilazimika kufundisha vipengele muhimu kwa ufupi.

Fedha ya ruzuku kutoka the Foundation for Civil Society ilichelewa kufika.


Ililazimika kusubiri hadi kipindi cha Januari 2012.

Baadhi ya mafunzo ya fedha na mpango mkakati yalikuwa magumu kwa baadhi ya wajumbe na wanachama wa asasi.



Baada ya mafunzo ya awali wawezeshaji walienda kumalizia mpango mkakati na mwongozo wa fedha na kuileta ili ipitishwe na wajumbe.

Linkages

StakeholderHow you worked with them

HIV POSITIVE WOMEN IN ACTION
Tulikaribisha mjumbe 1 kushiriki mafunzo na viongozi na wanachama wa asasi.
Kata ya IgomaTurimukaribisha Mwenekiti wa mtaa kutufungulia mafunzo yetu.



APANALI MWANZA
Tulikaribisha mtu mmoja kushiriki katika kuwezesha juu ya utunzaji wa kumbukumbu za mahesabu.

Future Plans

Activities Planned1st Month2nd Month3rd Month
Kufanya uchambuzi yakinifu juu ya shughhli za kutoa elimu ya Afya ya jamii kuhusu magonjwa ya kuambukiza kama vile kifua kikuu, VVU/UKIMWI, magonjwa ya zinaa na malaria.x
Kutoa elimu ya VVU/UKIMWI na magonjwa ya kuambukiza kwa kutumia njia shirikishi jamii (Community Capacity Enhancement – CCE) ili jamii iweze kuhimili maambukizi kwa kutumia raslimali zilizopo ndani ya jamiix
Kufanya ufuatiliaji na tathmini.x

Beneficiaries Reached

    Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
WidowsFemale770
Male660
Total13130
People living with HIV/AIDSFemale220
Male015
Total235
ElderlyFemale030
Male230
Total260
OrphansFemale150
Male150
Total2100
ChildrenFemale050
Male050
Total0100
DisabledFemale020
Male020
Total040
YouthFemale2100
Male3100
Total5200
OtherFemale050
Male050
Total0100
Kama vile albino na watoto wa mitaani.

Events Attended

Type of EventWhenLessonsActions Taken

Mafunzo ya usimamizi wa Ruzuku
17/10/2011 - 21/10/2011• Upangaji na usimamazi wa miradi
• Bao mantiki kama zana ya kupanga na kufuatilia utekelezaji wa miradi
• Kuuanda mpango kazi
• Kuaanda bajeti
• Ufutiliaji na Tathimini
• Usimamizi wa fedha
• Kujifunza kwa vitendo.
• Maswali na majibu.
• Kutengeneza mapango kazi na bajeti.
• Tulipewa kitabu cha kusoma kwa yale yote tuliyofundishwa wakati wa mafunzo.
• Kusaini mkataba.

Attachments

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.