Fungua
PEMBA RAPID DEVELOPMENT ORGANISATION

PEMBA RAPID DEVELOPMENT ORGANISATION

WETE, Tanzania

JUMUIYA YA PRADO ILIANZISHWA MWAKA 2007 NA KUSAJILIWA RASMI NA SERIKALI CHINI YA SHERIA YA USAJILI WA ASASI ZA KIRAIA YA MWAKA 1995 SOCIETIES ACT N0 6 OF 1995 NA KUPEWA HATI YA USAJILI No 623 YA MWAKA 2008

JUMUIYA ILIANZA NA WANACHAMA 16 WAKIWA WANAWAKE 4 NA WANAUME 12

JUMUIYA KWA SASA INA WANACHAMA HAI 35 KATI YA HAO WANAWAKE NI 14