Envaya
Wadau, ni muhimu kuelezana wazi kuwa, Asasi za kiraia (NGOs) zilizo nyingi hasa ndogo ndogo vijijini (Plot farm) hazina mihimili maalum ya kujipatia mapato ili kuziwezesha kuujenga uchumi imara na kumudu kutekeleza shughuli mbalimbali za kiasasi ili kuyafikia malengo yake. Mitaji mikubwa ya Asasi hizi ni michango na ada za wanachama wa Asasi hizo. Kwa namna yeyote, ni wazi kuwa Asasi hizi zitakuwa tegemezi hasa katika ruzuku ili ziwe na uwezo japo posho tu za watumishi wake. Bila ruzuku ndio hizooo... zinakufa.
26 Aprili, 2018
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (1)

dr joseph musagasa (mwanza tz) alisema:
ni kweli kabisa,hivyo tufanyeje? Ni vema serikali kuliona hilo na wabunge wetu wajitahidi kutetea hilo kwani matokeo ya hizi asasi yanabakia kwa wananchi
1 Mei, 2018

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.