Uzingatiaji wa sheria ya ardhi unasaidia kupunguza migogoro, kwani migogoro inasababisha kutoweka kwa amani, uharibifu wa mali na hata kupoteza maisha. Ardhi inatunza rasilimali nyingi, ambayo ndiyo msingi wa maendeleo ya jamii, bila kuyasahau mazingira ili kuilinda amani, mali na maisha yetu yawe salama.
Maoni (1)