Envaya

large.jpg

Washiriki wa mdahalo wa siku moja wa kujadili changamoto mbali mbali zinazoikabili sekta ya Ardhi, ulioandaliwa OLAI kwa ufadhili wa The Foundation for Civil Society (FCS) wilayani Tandahimba - Mtwara

24 Juni, 2016
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (2)

ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT (Kijiji cha Sokoine, Kata ya Chaume, Tandahimba - Mtwara, Tanzania. S. L. P. 62 Tandahimba. Tovuti: www.envaya.org/olai Simu: 0788 715 532 / 0654 269 456. Email: olaitandahimba8@gmail.com) alisema:
Tunafurahishwa mno na Envaya kwa kuyawezesha mashirika yasiyo ya kiserikali kuweza kutoa maoni yao kuihusu jamii, nini kifanyike ili kuyafikia maendeleo endelevu. Envaya iko juu sana.
24 Juni, 2016
Hassan Luheko Mnaute (Chaume, Tandahimba, Mtwara - Tanzania) alisema:
Mabadiliko ni muhimu kutokana na hali ya kisiasa, uchumi na maendeleo.
14 Mei, 2020

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.