OLAI ni Asasi ya kiraia iliyoanzishwa mwaka 2010 na kupata usajili katika wizara ya Maendeleo ya jamii, Jinsia na watoto mwaka 2011. Ofisi za makao makuu zipo kijiji cha Sokoine, kata ya Chaume, Wilaya ya Tandahimba, Mkoa wa Mtwara Tanzania.
Mabadiliko Mapya
ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT imeongeza Habari.
Uwezo wa asasi nyingi za kiraia hapa Tanzania, zinahitaji kupata msaada kutoka mashirika makubwa. Hivyo iko sababu ya kujituma ili kuweza kuyafikia malengo yaliyowekwa katika Asasi hizo.
6 Juni, 2021

ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT imeongeza Habari.
Hii ni nembo ya asasi ya Organization for Land and Agriculture Improvement (OLAI)
22 Aprili, 2021

ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT imeongeza Habari.
Ndg. Hassan luheko mnaute, kiongozi wa asasi iitwayo Organization for Land and Agriculture Improvement
19 Desemba, 2020

ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT imeongeza Habari.
Ndg. Hassan Luheko Mnaute mwenyekiti wa OLAI.
24 Februari, 2020

ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT imeongeza Habari.
Ndg. Hassan Luheko Mnaute, mwenyekiti wa Organization for Land and Agriculture Improvement (OLAI)
24 Mei, 2019

ORGANIZATION FOR LAND AND AGRICULTURE IMPROVEMENT imeongeza Habari 3.
Ndg. Hassan Luheko Mnaute.
4 Septemba, 2018
Sekta
Sehemu
Tandahimba Sokoine, Mtwara, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu