Envaya

large.jpg

7 Novemba, 2011
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (1)

Hivi ni baadhi ya vifaa vya michezo ambavyo vipo kwenye kituo hiki cha vijana. Vijana wanafaidi kwa kufanya mazoezi kila siku na vilevile kupata fursa ya kujisomea vitabu na vijarida mbalimbali ambavyo vinapatikana katika kituo.
7 Novemba, 2011

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.