Asia Kilambwanda (Envaya Field Assistance) alisema:
Hongereni kwa kazi mzuri, nimona kazi yenu. Jitahidini kuandika na habari sio picha tu.
14 Juni, 2011
Gdwin D Sanka (Dar Es Salaam) alisema:
Nkweli kabisa,kwani habari ni mpangilio wa maneno yanayoeleweka nakutoa maana,nia(lengo)maalum la kitu,mahala unalokusudia kufikisha ujumbe.Na picha ni vidokezo(kielelezo)vya habari. KAMA CHUMVI YA MAWE
Maoni (2)