Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

FCS Narrative Report

Introduction

Jumuiya Endelevu Bagamoyo
JEBA SOCIETY
Kuwajengea uwezo viongozi wa vikundi vya kijamii kwa kutoa elimu ya utaawala bora juu ya uwazi na uwajibikaji.
FCS/MG/2/09/019
Dates: 22-25 na 15-18 Quarter(s): Robo mwaka ya 2, Mwaka 2011 (Kutoka mwezi April Hadi Juni)
SWEETBERT MUSHOBOZI
JEBA SOCIETY
S.L.P 85
BAGAMOYO

Project Description

Governance and Accountability
Kutoa elimu kwa viongozi wa vikundi vya kijamii vya wakulima na wafugaji juu ya uwazi na uwajibikaji kuhusu rasilimali za umma.
RegionDistrictWardVillagesTotal Beneficiaries
PwaniBagamoyoDunda, Yombo, Zinga, Lugoba, Miono, Msata, Vigwaza, Mkange na Kibindu Kikaro,Miuga,Mandela,Kwaikonje,Magomeni,Dunda,Miono,kidozelo na Mboga380
 Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
Female220440
Male160 320
Total380760

Project Outputs and Activities

1.1Wanajamii wa kata za Dunda, Yombo, Zinga, Lugoba, Miono, Msata, Vigwaza, Mkange na Kibindu wamepata uelewa juu ya utawala bora ifikapo 2011.



1.2Wananchi wa kata za Dunda, Yombo,Zinga,Lugoba,Miono,Msata, Vigwaza,Mkange na Kibindu wameelimishwa juu ya utawala bora na uwajibikaji ifkapo 2011.


1.1.1Kutambua washiriki wa mradi katika kata 9 za Dunda, Yombo, Zinga, Lugoba, Miono, Msata, Vigwaza, Mkange na Kibindu ifikapo Novemba 2009.
1.1.2 Kuendesha Semina ya utawala bora kwa siku 4 kila katika kata za Dunda, Yombo, Zinga, Lugoba, Miono, Msata, Vigwaza, Mkange na Kibindu, kila Kata washiriki 60 ifikapo mwaka 2010.
1.1.3Kuendesha mikutano 27 ya Umma ya uhamasishaji kwa kila mwaka mikutano 9 na kila kata mikutano 3 ifikapo Juni 2011.
1.1.4
1.2.1 Kuendesha warsha, Makongamano ya utawala bora kwa viongozi wa vikundi vya kijamii vya wakulima na wafugaji kuhusu ushirikishwaji wa kuweza kupata taarifa za maendeleo ifikapo 2011.
1.2.2 Kuendesha mikutano 2 kwa viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo na wananchi kuhusu kuweka mifumo imara ya mawasiliano.
1.2.3 Kuendesha mikutano ya Umma ya uhamasishaji kupitia mikutano ya kila mwezi ya vijiji na ratiba za magulio ifikapo 2011.
Kuendesha semina kwa viongozi wa vikundi na watendaji wa vijiji/Kata na wah. Madiwani katika kata ya Kibindu na Dunda. Tarehe 22 -25/02/2011 kata ya Kibindu na tarehe 15-18/03/2011 katika kata ya Dunda. Jumla wote ni washiriki 110. me 65 na ke 45.



Semina ya utawala bora iliendeshwa kwa siku 4 katika kata sita kwa mwaka wa kwanza 2010, ambazo zilikuwa ni Dunda, Zinga, Vigwaza, Lugoba, Msata na Miono. Jumla ya washiriki 380 walipata mafunzo ya utawala bora, Me 160 na Ke 220.



Mikutano kumi na tano ya umma ya uhamasishaji imefanyika katika kata tano za Miono, Dunda, Vigwaza, Msata na Mkange kufikia Juni 2011. Jumla ya watendaji wa mtaa na Kata 70 walihamasishwa.












Hakuna
Tayari tumendesha mkutano mmoja kwa viongozi wa Halmashauri ya Bagamoyo na wananchi na kuweka mifumo imara ya mawasiliano.



Mikutano imeanza kufanyika kupitia kwenye magulio ya kila mwezi ya vijiji. Hadi mwezi Juni 2011 tumehamasisha katika magulio ya kijiji cha Miono, Dunda na Lugoba.
Hakuna





Hakuna




Hakuna


Shughuli hii bado haijafanyika, kwa sababu mradi uliaza kutekelezwa rasmi Jan. 2010 badala ya 2009 kama ilivyokuwa imetegemewa wakati wa kuandika andiko la mradi.




Hakuna




Hakuna


6,387,500=.





113,000/=







Hakuna




2,200,000/=




Hakuna

Project Outcomes and Impact

Semina ya utawala bora iliendeshwa kwa siku 4 katika kata sita kwa mwaka wa kwanza 2010, ambazo zilikuwa ni Dunda, Zinga, Vigwaza, Lugoba, Msata na Miono. Jumla ya washiriki 380 walipata mafunzo ya utawala bora, Me 160 na Ke 220.



mikutano kumi na tano ya umma ya uhamasishaji imefanyika katika kata tano za Miono, Dunda, Vigwaza, Msata na Mkange kufikia Juni 2011. Jumla ya watendaji wa mtaa na Kata 70 walihamasishwa.



Kumekuwepo na uwazi baina ya viongozi wa kata, watendaji wa kijiji na jamii kwa ujumla
Taarifa za mapato na matumizi zimewekwa katika mbao za matangazo
Idadi ya wananchi kuhudhuria mikutano ya vijiji na vikundi imeongezeka
Jamii imeweza kuhoji matumizi na mapato ya fedha ndani ya kijiji
utunzaji wa kumbukumbu na mahesabu kwenye vikundi kumeonezeka
Ni baada ya kupata mafunzo ya utawala bora juu ya uwazi na uwajibikaji yaliyohusisha viongozi wa pande zote kati ya watendaji wa kata, vijiji na viongozi wa vikundi vya kijamii vya wakulima na wafugaji

Lessons Learned

Explanation
1. Jamii ya watu wa Kibindu kwa ujumla wake hawajui namna ya kuwatumia wataalam na fursa zilizo
wazunguka katika maeneo yao. Mf: Misitu, na ardhi nzuri inayofaa kwa
kilimo lakini makazi yao ni duni mno. Halmashauri ilileta Trecta kijijini hapo ili wananchi
waweze kuongeza kilimo kwa kupanua mashamba yao, lakini Trecta walikataa kulitumia
walisema kuwa eti inatifua kama NGIRI
Kata ya Kibindu vitendo vya kishirikina vimeshika hatamu sana. Hii inatokana na kile tulichoelezwa kuwa watu wa Kibindu wanashindwa kujenga nyumba bora na kuanzisha biashara kwa hofu ya kupigwa ZONGO (Kulogwa).
3. Katika Kata ya Kibindu wananchi wana mwitikio mkubwa sana kwenye mambo ya semina
na warsha, lakini hawana mwitikio katika shughuli za maendeleo ya vijiji vyao. Mf: Kuna
jengo moja kijiji cha Kibindu lilianzishwa mwaka 2007 kwa msaada wa SIDO ili wanakijiji
waletewe mashine ya kusindika unga wa muhogo. Lakini hadi hivi leo limebakia pale pale
ulipoishia msaada wa SIDO. Wananchi hawana moyo wa kujitolea na kujituma kwa ajili ya
maendeleo yao. Jambo wanalipokea vizuri lakini mwisho wa siku wanaliachia pale pale bila
kuanza kulitekeleza. Mhe Diwani ndugu Komu wa kata ya Kibindu alitoa falsafa ya U – 3
kwa maana ya Utambuzi, Uchambuzi na Utekelezaji. Alimalizia kwa kusema kwamba
wananchi wake mambo mawili ya mwanzo wanayajua isipokuwa hilo la tatu la utekelezaji
ndio mgogoro ulipo.
Viongozi wengi wako katika nafasi za uongozi lakini hawana mafunzo maalum ya uongozi na utawala bora.
Vikundi vingi vinajiendesha bila ya kuwa na dira, dhamira na malengo ya pamoja. Vikundi vingi havina katiba.
Ilibainika kuwa katika kata ya Kibindu hakuna utawala wa sheria unaowabana wenyeviti wa vitongoji na kuwazuia wasiuze ardhi vijijini.

Challenges

ChallengeHow it was overcome
1. Vijiji vingi vya kata ya Kibindu viko mbali sana na kata ni kilomita 90 kutoka makao makuu ya Kata ambapo mafunzo yalikuwa yakiendeshwa. Washiriki walihitaji walipwe nauli ya kwenda na kurudi shs 15,000/=.Ilibidi mratibu wa mradi na viongozi wengine wa Jeba tuwafahamishe kuwa tangu mwanzo wa kubuni na kuandaa mradi hatukutegemea kuwa hali ya usafiri kutoka huko vijijini itakuwa ngumu kiasi hiki. Hivyo tunawaomba wenye kuwa na ndugu hapa Kibindu mjibane hadi siku nne za mafunzo haya. Pia mkataba tuliosaini na wafadhili wetu The Foundation hauna Nauli wala Posho ya kujikimu kwa washiriki, ila unasema washiriki watapewe posho ya chai na chakula na sio kupewa pesa mkononi.
Kata ya Kibindu haina maji safi na salama, ni maji ya visima yenye chumvi chumvi.
Ilibidi tukubaliane na hali halisi ilivyo pale kijijini, tutumie maji ya chumvi kuogea naya ya kunywa tulinunua dukani.
Katika kata ya Kibindu ukumbi ulikuwa mzuri ila tatizo ofisi ya kata na kijiji haina huduma ya vyoo. Uongozi wa Serikali ya kijiji cha Kibindu ilibidi uombe huduma ya choo kwa nyumba ya jirani ili washiriki wajihudumie hapo kwa hizo siku nne za mafunzo.
4. Walengwa wa mafunzo waliitajika viongozi
wa vikundi vya kijamii wakulima na
wafugaji, Watendaji wa Vijiji na Kata. Lakini siku ya
mafunzo walifika na wenyeviti wa Vitongoji
na Vijiji.
Tuliwaeleza wajumbe wote kuwa mradi huu unalenga hasa Viongozi wa vikundi vya kijamii vya wakulima na wafugaji na watendaji Kata na Vijiji tu. Hivyo tunawaomba kama wewe si miongoni mwa waliotajwa na kupewa mwaliko wa kuhudhulia mafunzo haya tuliwaomba warudi nyumbani.
Mjumbe kutoka kata ya Kibindu alilamikia uwepo wa mazingira ya rushwa katika vikundi vya kupewa misaada na ruzuku za maendeleo mfano ruzuku ya msaada iliyotolewa na shirika la CVM.Afisa kilimo na Mtendaji wa Kata ya Kibindu walijitetea kuwa wao nao walitumiwa majina kutoka katika ofisi ya Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya. Hivyo Kata haikuhusika kuteua wala kuchagua majina ya watu watakaopewa mkopo huo.

Linkages

StakeholderHow you worked with them
Ofisi ya Mkurgenzi ya halmashauri ya wilaya BagamoyoAlitoa barua kuwaagiza watendaji wa kata na vijiji kushiriki kikamilifu katika mradi unaotekelezwa na shirika la JEBA katika kata zao.
Watendaji wa vijiji katika kata zote kunakotekelezwa mradiWalishiriki mafunzo ya utawala bora kwa siku zote nne mfululizo katika kata na kwenye vijiji husika
Vikundi vya CAREWawakilishi kutoka katika vikundi hivyo walitoa uzoefu namna ya kuhifadhi fedha na jinsi ya kuzitumia na kurejesha
Ofisi ya mkuu wa wilaya BagamoyoAlikuwa akitufungulia semina zetu na kuweka msisitizo kwa waheshimiwa madiwani kufuatilia kwa makini mafunzo yanavyoendeshwa na kuyafanyia kazi.

Future Plans

Activities Planned1st Month2nd Month3rd Month
Kuendesha semina ya utawala bora kwa siku nne (4) katika kata ya Zinga na Msata.
Maafisa 2 watendaji wa mradi kufanya ufuatiliaji na kukusanya takwimu katika kila ofisi ya kijiji kwenye kata za Msata na Lugoba.
• Kuandika ripoti ya utekelezaji mradi (ripoti ya robo) na nakala kuzituma kwa wadau ambao ni The Foundation for Civil Society (FCS), ofisi ya Mkurugenzi mtendaji (W) Bagamoyo, ofisi ya Mkuu wa Wilaya na katika kila ofisi ya kijiji na kwenye kata za Zinga na Msata.

Beneficiaries Reached

    Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
WidowsFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
People living with HIV/AIDSFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
ElderlyFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
OrphansFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
ChildrenFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
DisabledFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
YouthFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
OtherFemale220440
Male160320
Total380760
(No Response)

Events Attended

Type of EventWhenLessonsActions Taken
Mafunzo ya usimamizi wa ruzuku2009Namna ya kutumia fedha wakati wa kutekeleza mradi
Jinsi ya kuandika ripoti ya maendeleo ya mradi na ya fedha kila robo ya mwaka
tumefundishwa ,tumeelewa na tunaendelea kufanyia kazi mafunzo hayo
Organization Development(OD)2010Namna ya kusimamia malengo ya shirika na mipango mikakatitunaendelea kusimamia mipango ya shirika kadiri ilivyowekwa ndani ya katiba na sheria ndogondogo zinazowekwa na kamati ya utendaji ya JEBA

Attachments

Katika ukurasa huu sikuwa na habari ya haraka ya kuandika.

FCS Narrative Report

Introduction

JUMUIYA ENDELEVU BAGAMOYO
JEBA
kuwajengea uwezo viongozi wa vikundi vya kijamii kwa kutoa elimu ya utawala bora juu ya uwazi na uwajibikaji
FCS/MG/2/09/019
Dates: 31 DESEMBAQuarter(s): 4
SWEETBERT MUSHOBOZI,
AFISA MIPANGO NA FEDHA,
JEBA SOCIETY,
S.L.P 85,
BAGAMOYO.

Project Description

Governance and Accountability
Kuwajengea/tunawajengea uwezo viongozi wa vikundi vya kijamii, wakulima na wafugaji viongozi wa vikundi vya kijamii, viongozi wa vijiji, Kata na tarafa, juu ya uwazi na uwajibikaji kwa dhana nzima ya utawala bora na usimamizi wa fedha na rasilimali za umma.

RegionDistrictWardVillagesTotal Beneficiaries
PwaniBagamoyoDunda, Zinga, Yombo, Vigwaza, Msata, Lugoba, Miono, Mkange na Kibindu.Kaole, magomeni, yombo, mlingotini, makole, msata, kikaro, masimbani, miono, lugoba, kibindu, kwaikonje na kwamduma.1,080
 Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
Female74016
Male34008
Total108024

Project Outputs and Activities

Wanajamii wa kata za Dunda, Yombo, Zinga, Lugoba, Miono, Msata, Vigwaza, Mkange na Kibindu wamepata uelewa juu ya utawala bora ifikapo 2011.
Kuendesha semina kwa viongozi wa vikundi na watendaji wa vijiji/ kata na wah. madiwani katika kata ya Msata na Lugoba. Tarehe 24-27/08/2010 kata ya Msata na tarehe 30/08-02/09/2010 katika kata ya Lugoba. Jumla ya washiriki wote ni 120.
1. Viongozi wa vikundi vya kijamii na wadau mabalimbali wametambua umuhimu wa kuhudhulia vikao na mikutano inayoitishwa na kijiji. Vile vile na katika vikundi vyao.
2. Wananchi wa kijiji cha Kidogozero wameuvunja uongozi uliokuwepo madarakani na kuchagua viongozi wapya watakaowajibika na kuwaletea wananchi maendeleo .
HAKUNA
Ukumbi Tsh. 160,000/=
Stationary Tsh. 467, 500/=
Chai Tsh. 960,000/=
Chakula Tsh. 1, 440, 000/=
Posho ya wawezeshaji ni Tsh. 2, 400, 000/=
Kudurufu vitini vya mafunzo na kubainding taarifa Tsh. 210, 000/=
Jumla yote ni Tsh. 5, 637, 500/=

Project Outcomes and Impact

Viongozi wa vikundi vya kijamii , kata na vijiji wametambua wajibu wao.
Mpango wa utekelezaji na ufuatiliaji unafanyika ili kuona yale waliokubaliana katika mpango kazi yanafanyika.
Viongozi wa vikundi vya kijamii na wadau mbalimbali wametambua umuhimu wa kuhudhulia vikao na mikutano inayoitishwa na kijiji. Vile vile wamepata fursa ya kuhoji mapato na matumizi katika ofisi za vijiji.
Uelewa umeongezeka baada ya kupata mafunzo ya uwazi na uwajibikaji kila kiongozi kwa nafasi yake.

Lessons Learned

Explanation
Jamii ya watu hasa wanaoishi mbali na makao makuu ya kata taarifa nyingi hawazipati kutokana na viongozi wa vijiji kushindwa kuzifuatilia kwa madai kwamba hawana vitendea kazi kama vile usafiri.
Vikundi vingi vya kijamii hasa vilivyoanzishwa na CARE kwa lengo la kujiwekea pesa (VICOBA) viongozi wa vikundi hivyo baadhi yao hawaelewi wajibu wao katika suala zima la utunzaji kumbukumbu za fedha na nyaraka nyingine muhimu.
Wananchi hawana moyo wa kujitolea na kujituma kwa ajili ya maendeleo yao. Jambo wanalipokea lakini mwisho wa siku wanaliacha palepale bila kuanza kulitekeleza. mfano: Mh. Diwani wa Yombo alitoa falsafa ya U-3 maana yake ni Utambizi, Uchambuzi na Utekelezaji.
Wananchi wanamuitikio mkubwa sana kwenye mambo semina na warsha lakini hawana muitikio katika shughuli za maendeleo ya vijiji. Mfano: kuna jengo lilianzishwa mwaka 2007 kwa msaada wa SIDO ili wananchi wasindike unga wa muhogo lakini hadi hivi leo jengo hilo limebakia palepale ambapo msaada wa SIDO ulipoishia.

Challenges

ChallengeHow it was overcome
Wanawarsha kutoridhika na utaratibu wa kuandaliwa chai na chakula, bila kupewa posho ya kwenda nayo nyumani.Ilibidi mratibu wa mradi na na viongozi wengine wa Jeba tuwafahamishe madhumuni ya kuwaandalia chai na chakula, badala ya kuwapa posho ya fedha mkononi.
Aliwaeleza kuwa hayo yalikuwa makubaliano yetu tangu mwanzo wa kuandaa na kubuni mradi. Lakini pia mkataba tuliosaini na wafadhili wetu The foundation unasema washiriki watapewa posho ya chai na chakula na sio kupewa pesa mkononi.
Uwajibikaji mdogo kwa watendaji wa Kata na Vijiji, kutekeleza na kushughulikia maazimio yaliyopitishwa wakati wa kuendesha mafunzo ya uwazi na uwajibikaji kwa zana nzima ya utawala bora.Baadhi ya Vijiji na Kata hawajaweka masanduku ya maoni kwenye maeneo ya ofisi zao. Jeba imewasilisha taarifa za maendeleo ya mradi kwenye ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya na kwa ofisi ya mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo ili waweze kusaidia kuhimiza watendaji wao.

Linkages

StakeholderHow you worked with them
Watendaji wa ofisi za Vijiji na Kata, Idara mbalimbali katika ofisi ya Mkurugenzi.Tuliwahusisha katika mafunzo ya uwazi na uwajibikaji katika kila kijiji na kata.
Ofisi ya mkuu wa Wilaya, Maafisa tarafa kwenye kata kunakotekelezwa mradi.Tunawashirikisha kabla ya kuanza mafunzo na wakati mwingine kuwa wageni rasmi katika kufungua na kufunga mafunzo hayo.
NGOs, CBOs, Madhehebu ya dini.Wanashiriki katika mafunzo yanayoendeshwa katika maeneo walipo.

Future Plans

Activities Planned1st Month2nd Month3rd Month
Kuendesha mafunzo kwa Viongozi wa vikundi na watendaji wa Vijiji na Kata ya Mkange na Yombo kwa siku nne (4) kila kata. v v v

Beneficiaries Reached

    Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
WidowsFemale(No Response)(No Response)
Male (No Response)
Total(No Response)(No Response)
People living with HIV/AIDSFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
ElderlyFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
OrphansFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
ChildrenFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
DisabledFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
YouthFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
OtherFemale7401480
Male340520
Total10802000
(No Response)

Events Attended

Type of EventWhenLessonsActions Taken
Usimamizi wa Ruzuku (MYG), 2009Namna ya kutunza kumbukumbu za fedha.Shirika lilipata ruzuku kutoka The foundation na kuanza kutekeleza mradi kwa miaka mitatu (3) 2010-2012
Tamasha la Asasi za Kiraia2010Ushirikishwaji wa wadau, Tuzo kwa Asasi zilizofanya vizuri katika shughuli zake, kubadilishana mawazo na mashirika mengine yenye Mitandao mikubwa hapa nchini.Shirika limetumia uzoefu uliopatikana kupitia Tamasha hilo na kuboresha shughuli za shirika.

Attachments