Vikapu hivi waweza kutumia kwa kubebea vitu vya sokoni.
Mkeka huu utatandikwa chini kama zulia.
kazi ya kusuka mikeka ikiendelea.
Akisikiliza swali kwa makini.
Wakifurahia somo.
Mkurugenzi Mtendaji akiwaelekeza kwa makini wanawake wa Mdori.
Washiriki wa semina wakiuliza maswali.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mbugwe Women Foundation akitoa semina kwa wanawake wa Mdori.