Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

HABARI,TUNATARAJIA KUFANYA MKUTANO MWISHONI MWA WIKI ILI KUELEZANA MAENDELEO YA ASASI YETU,JIONI NJEMA

 

TUNAOMBA USHIRIKIANO WENU KATIKA MAENDELEO YA CIVIL SOCIETY NCHINI TANZANIA ILI TUWE WADAU/WASHIRIKI MUHIMA KTK MCHAKATO WA MAENDELEO YA KIJAMII NA KIUCHUMI,

NAWATAKIA KAZI NJEMA.

TUPO KATIKA MCHAKATO WA USAJILI WA NGO YETU,KATIBA ,WASIFU WA VIONGOZI WATATU YAANI CV NA PICHA ZAO,MUHTASARI WA KIKAO CHA KUANZISHA SHIRIKA UKO TAYARI NA BARUA TOKA MTENDAJI  WA KIJIJI(VEO) YA UTAMBULISHO TUNAYO,WIKI IJAYO TUNAPELEKA MAOMBI YETU WILAYANI/HALMASHAURI BAADA YA HAPO MKOANI MWISHOWE KWA MSAJILI WA NGO KTK WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII,

TOGETHER WE BUILD SOCIETY

JIONI NJEMA