Envaya

large.jpg

Picha hapo juu ni: Kulia ni mwenyekiti wa mwela theatre group vuga Salimina magogo akizungumza na Waaandishi wa Habari waliofika Kushuhudia Zoezi la utoaji maoni kuhusu rasimu ya katiba mpya kutoka kushoto ni mwandishi wa habari wa gazeti la Tumaini letu na redio Huruma fm Godwin Henry, Salimu Hemedi wa gazeti la Mwananchi na Anna wa Magazeti ya Serikali(Habari Leo) wakichukua maelezo ya mradi wa utoaji wa maoni ya marekebisho ya katiba mradi unaotekelezwa na Mwela theatre group na kufadhiliwa na The foundation for civil society (FCS)

September 23, 2013
« Previous Next »

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.