Fungua
Muwwe Women/Youth Poverty Reduction Organization

Muwwe Women/Youth Poverty Reduction Organization

Musoma, Tanzania

Kutoa Elimu ya kupunguza umasikini na elimu ya kutunza mazingira na vyanzo vya uoto wa asili. Pamoja na elimu ya kuzuia maambukizo ya ukimwi na VVU.

Mabadiliko Mapya
Muwwe Women/Youth Poverty Reduction Organization ina ujumbe mpya katika mada OMBI LA KUPATA WAFADHILI KUTOKA NCHI MBALIMBALI.
CHAMA CHA ALBINO WILAYA YA KINONDONI: Ngu msamalia mwema napenda kuomba na kusisitiza kwamba jamihi yetu ya albino ina tatizo lkubwa la watu waliokosa kupata fulas ya elimu kwiyo naomba tusaidiwe eneo la elimu asante sana
8 Juni, 2011
Muwwe Women/Youth Poverty Reduction Organization ina ujumbe mpya katika mada OMBI LA KUPATA WAFADHILI KUTOKA NCHI MBALIMBALI.
TULINDANE KIWALANI GROUP: TUNAHITAJI KUPATA MAFUNZO JINSI YA KUANDIKA MCHANGANUO KWENDA KWA WAFADHILI MBALIMBALI
8 Juni, 2011
Muwwe Women/Youth Poverty Reduction Organization ina mada mpya kuhusu KUOMBA KUPATA WAFADHILI NDANI NJE YA NCHI.
IMELDA D ASSEY: TUNAOMBA MISAADA ZAIDI KWA JAMII ILI TUWEZE KUONGEZA UTENDAJI WETU WA KAZI. KAZI ZA KIKUNDI CHETU NI ZAKUHUDUMIA WATU WANAOISHI NA VVU\ UKIMWI.WAGONJWA HAWA TUNAWAPATA MAJUMBANI'NAWENGI KATI YA HAO HUWA WAOGA KWENDA HOSPTAL ;NASABU KUU YA KUJIFICHA WANAHOFIA KUWA NDUGU AU JAMII ITAWANYANYAPAA;HIVYO SISI TUNA CHUKUA... Soma zaidi
8 Juni, 2011
Muwwe Women/Youth Poverty Reduction Organization ina ujumbe mpya katika mada OMBI LA KUPATA WAFADHILI KUTOKA NCHI MBALIMBALI.
CHAMA CHA ALBINO WILAYA YA KINONDONI: Ngu chama cha Albino wilaya ya kinondo k inaomba kupata wafadhili abao wata tuwezesha kupata madawa ya kuziwiya mionzi mikali ya jua ambayo utusaidia kulinda gozi zetu zisialibike na vdonda vya kansa ya ngozi ambayo uasbabisha vifo kwa jamihi yetu sisi albino.ayo
8 Juni, 2011
Muwwe Women/Youth Poverty Reduction Organization ina ujumbe mpya katika mada OMBI LA KUPATA WAFADHILI KUTOKA NCHI MBALIMBALI.
strecco: ni vizuri kupata wafadhili mbalimbali kutoka nje kwa sababu ya ufinyu wa bajeti kwa nchi zinazoendelea sasa.
8 Juni, 2011
Muwwe Women/Youth Poverty Reduction Organization ina mada mpya kuhusu OMBI LA KUPATA WAFADHILI KUTOKA NCHI MBALIMBALI.
John Ryamera: - Kutokana na kazi tunazozifanya tunaomba kupata wafadhili ambao tutashirikiana kutoa huduma kwa jamii
3 Juni, 2011
Sekta
Sehemu