Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
Kwa kufuata sheria na taratibu za nchi jumuiya inafanya kazi zifuatazo:
- Kutoa elimu ya Mazingira kwa ujumla.
- Kutoa elimu ya Maadili
- Kutoa elimu ya Utamaduni.
- Kuengeza kiwango cha Elimu kwa wanachama na wanajamii kwa ujumla.
Miongoni mwa shughuli za jumiya ni:
- Kutunza, kuhifadhi na kulinda mazingira.
- Kufanya dhiara mbali mbali kwa ajili ya kuhamasisha jamii juu ya umuhimu wa utunzaji na uhifadhi wa mazingira mjini na vijijini.
- Kuwashajihisha vijana waachane na vikundi viovu, uvutaji wa madawa ya kulevya na vitendo vya uasharati.
- Kudhibiti utupaji ovyo wa takataka nakadhalika