Katibu wa MEECO Nd. Suleiman J. Pandu akiwa na Mshauri wa kigeni wa jumuiya hiyo Bi. Katrina moja katika dhiara zao za kuangalia hali ya mazingira katika kijiji cha Makunduchi kilioko mkoa wa kusini Unguja
Shimo kubwa linalochimbwa Mchanga na vijana waharibifu wa mazingira liliopo mtaani katika mji wa Mwanakwerekwe-Taveta ni miongoni mwa athari za uharibifu wa mazingira katika mji huo
Mchanga uliochimbwa katika maeneo yasioruhusika ukiwa umekwisha uzwa. Hali ambayo inachangia wa kiasi kikubwa uharibifu wa mazingira katika Mji wa Mwanakwerekwe
Baadhi ya waharibifu wa mazingira na pia watumiaji wa madawa ya kulevya zikiwemo bangi katika Mji wa Mwanakwerekwe wakiteremsha mchanga waliouchimbwa katika maeneo yasioruhusika na kupelekea athari mbali mbali katika jamii. MEECO inatoa elimu kuhusu uharibifu wa mazingira uliokithiri katika mji huo na Zanzibar yote kwa ujumla
Mgeni rasmi katika Sherehe ya kumuaga mshauri wa kigeni wa jumuiya ya MEECO akimkabidhi Bi. Katrina zawadi mbalimbali zilitolewa na wanajumuiya hiyo
Mh.Mwanaidi Kassim akitia saini Certificate of appriciation na kumkabidhi mshauri wa kigeni wa jumuiya ya MEECO kutokana na utendaji kazi wake mzuri, katika sherehe za kumuaga zilizofanyika Melinne Mbarali Zanzibar
Mh.Mwanaidi Kassim ambaye ndiye aliyekuwa Mgeni rasmi akimkabidhi Certificate of appriaciation Mshauri wa kigeni wa Jumuiya ya MEECO Bi. Katina. katika sherehe ya kumuaga zilizofanyika Melinne Mbarali Zanzibar
Mkurugenzi Ajira, Ameir Ali Ameir(aliyesimama), Bibi Mwanaidi Kassim, Mshauri wa kigeni wa MEECO Bi.Katrina na Diwani wa Wadi ya Mwanakwerekwe Nd.Kitete wakiwa katika meza kubwa katika sherehe za kumuaga Mshauri wa Kigeni wa Jumuiya ya MEECO Bibi Katrina Demullang iliyofanyika katika kijiji cha Meli nne Mbarali Mkoa wa Mjini Unguja Wilaya ya Magharib
Mkurugenzi Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika Nd. Ameir Ali Ameir (Aliyesimama)ambae pia ni miongoni mwa walezi wa jumuiya hiyo akihutubia wanachama na wageni waalikwa katika sherehe za kumuaga Mshauri wa Kigeni wa Jumuiya ya MEECO Bibi Katrina Demullang iliyofanyika katika kijiji cha Meli nne Mbarali Mkoa wa Mjini Unguja Wilaya ya Magharib
Mwenyekiti Kitengo cha Mazingira cha Asasi ya MEECO Bi. Halima Salum (nguo nyekundu)na Bi. Khadija Suleiman Mnoga mjumbe wa MEECO wakiwa katika Shamra shamra ya kumpokea mgeni rasmi Mh. Mwanaidi Kassim Juma Mwakilishi wa Viti maalum kwaniaba ya Naibu Waziri wa Habari, Utalii,Utamaduni na michezo katika sherehe za kumuaga Mshauri wa Kigeni wa Jumuiya ya MEECO Bibi Katrina Demullang iliyofanyika katika kijiji cha Meli nne Mbarali Mkoa wa Mjini Unguja Wilaya ya Magharib