Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

Kwa sasa MED inafadhiliwa na:-

  • Oxfam GB  tawi la Tanzania katika mradi wa Haki zangu Sauti Yangu/My Rights My Voice (MRMV) kwa kipindi cha miaka mitatu (3) 2012 - 2014.

  • ILO Inafadhili mradi wa Youth 2 Youth kwa kipindi cha mwaka mmoja (1) 2013.

  • Uwezo.net inafadhili mradi wa utafiti wa Elimu kwa kipindi cha mwaka mmoja (1) 2013.

  • HakiElimu inafadhili vipindi vya Radio kipindi cha mwaka mmoja (1) 2013.

 

MED inaomba Ufadhili, Uhisani na Misaada toka kwa shirika, kampuni, taasisi na asasi ambazo zinaona kuwa kulingana na shughuli za MED zinaweza kukidhi vigezo vya kupata ufadhili au kushirikiana nasi.