Injira
LIGHT DREAM ORGANIZATION

LIGHT DREAM ORGANIZATION

HEADQUARTERS MWANZA, Tanzania Mainlannd

large.jpg

Baadaye mkurugenzi aliwaomba wambie wimbo wakiwa wamesimama

large.jpg

Watoto wakiendelea kutoa mawazo yao kwa mkurugenzi wa liDO na kusema kuwa wangetaji kusoma zaidi, kuendesha ndege,kumtumikia Mungu ...

large.jpg

Hii ni moja ya vikao cha watoto na mkurugenzi wa LiDO.

large.jpg

Moja kati ya kazi kubwa ya zile zinazo fanywa na LiDO kusaidia watoto waishio vijijini. kwa kutumia mbinu mbalimbali asasi hii huweza kukaa na kuongea na watoto kupia michezo yao.

large.jpg

Je, umewahi kufanya kazi na watoto? sio lazima kwamba kazi ya watoto utanza na watoto wengi!

Mradi wa Kuendesha Ulingo wa Mabaraza ya Rasimu ya Kabtiba Mpya

Kwa ufadhili wa foundation for civil Society asasi ya LiDO imeweza kuendesha washa hiyo kwa muda wa siku tatu tangu 26 hadi 28/2013.

washa hii iliyo fanyikia kwenye kivuli cha RM hotel ilikuwa ya tofauti na iliweza kuhudhuliwa na watu wapatao 109 wa jinsia zote na makundi mchanganyiko. Habari kamili tutazipata hivi karibuni.