Log in
KIGOMA AND UJIJI NON GOVERNMENT ORGANIZATION NETWORK

KIGOMA AND UJIJI NON GOVERNMENT ORGANIZATION NETWORK

KIGOMA, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

baadhi ya wananchi waliohudhuria Mdahalo wakiwa tayari kutoa kero zao.

large.jpg

mwandishi akichukua taarifa.

large.jpg

Ndugu Musa madua:akitoa mada,na kusisitiza kuwa Huduma za jamii ni mhimu sana kwa wananchi.

large.jpg

Ndugu Tabwe Hiza:Mwenyekiti wa KIUNGONET-akiwakaribisha wananchi kushiriki kikamilisha kutoa Kero zao kwa utulivu.

large.jpg

Bwana Dotto Eliasi-Mwandishi wa habari TBC.Akiandika Taarifa.

large.jpg

Ndugu,John B.Mosha-Mkurugenzi Mtendaji-KIUNGONET akimkaribisha Mgeni rasmi na Kutoa neno kwa Washiriki.Mosha amesisitiza wananchi kutumia Fursa ya Mdahalo kutoa kero zao kwa kuwa Ni Nadra viongozi kukutana na wananchi kwa lengo la kujibu Kero zao.

large.jpg

Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya,Bi Margereth Heguye mgeni Rasmi wa Mdahalo-Akiingia na Kukaribishwa ukumbini.

large.jpg

Rwegasira Josephati-Kaimu mkurugenziKUWASA-akijibu na Kufafanua Kero za maji zilizoelekezwa Idara ya maji.Bei ya Maji kupanda na Kukosekana kwa Bili za maji kulikuwa Gumzo ya Mdahalo.

large.jpg

Mwakilishi wa Meneja Wa Tanesco-akijibu Kero za Wananchi.Katika Mdahalo uliofadhiliwa na The Foundation For civil society.

large.jpg

Wakuu wa Idara kutoka Idara ya Maji(KUWASA)Kushoto-Josaphati Rwegasira na Meneja TANESCO-Bi Mama Mwingira wakiteta Jambo.