Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
KAESO IMETEKELEZA MIRADI KAMA IFUATAVYO
- ELIMU YA HIFADHI YA MISITU NA VYANZO VYA MAJI
- ELIMU YA SERA YA MISITU
- MAPAMBANO DHIDI YA MAAMBUKIZO MAPYA YA UKIMWI
- ELIMU YA MAPAMBANO DHIDI YA UGONJWA WA MALARIA
- UANZISHAJI WA VITARU VYA MITI NA KUISAMBAZA KWA WANANCHI
- MISAADA KWA WATOTO YATIMA WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU