Fungua
Huruma Care Development

Huruma Care Development

Arumeru, Tanzania

Huruma Care Development ni Taasisi isiyo ya Kiserikali inayojihusisha na kazi ya kuwasaidia watoto yatima, wanaoishi katika mazingira magumu, walemavu na wajane.

Madhumuni yake makuu ni kuwapatia watoto elimu ili wawe na uwezo wa kuendeleza maisha yao ya baadaye. Pamoja na hayo wajane na walemavu ambao hawana uwezo wa kujisaidia watasaidiwa na Taasisi yetu.

Kwa kifupi Taasisi inajali wale yatima, walemavu, wajane na watoto wanaoishi katika hali duni ya maisha na mazingira magumu / hatarishi

Mabadiliko Mapya
Huruma Care Development imeongeza Habari.
24 Desemba, 2012
Huruma Care Development imeongeza Habari 15.
Kuwahudumia watoto yatima na kuwapa maadili ya kiroho pia ni jamnbo jema kwao kama inavyoonekana kwa watoto hawa ambao baadhi yao wamebatizwa na kubarikiwa
2 Novemba, 2012
Huruma Care Development imeongeza Habari.
Hawa ni baadhi ya watoto wakiwemo viziwi na bubu (4)wakijumuika katika masomo ya ziada. Hii ni changa moto kubwa kwa wanafunzi hawa wenye elemavu huu kutokana na uchache wa waalimu wa haiba yao. Soma zaidi
17 Septemba, 2012
Huruma Care Development imeongeza Habari.
Familia ya mama huyu ambaye ni mjane na mwenye matatizo ya akili anaishi na wanawe wanne akiwa hana msaada. Anaishi kijiji cha Bashay wilaya ya Karatu
14 Septemba, 2012
Huruma Care Development imehariri ukurasa wa Historia.
Huruma Care Development abbreviated HUCADE is an non Goverment Organization whose aim is to empower vunerable groups such as orphans, street children, edged people and widows as well as the children with diabilities in order to help themselves in future. – HUCADE wa established in 2004 with 7 children by mrs Agnes Mollel who is... Soma zaidi
27 Agosti, 2012
Huruma Care Development imeongeza Habari.
The Person with Disabilities Act 2010 provide for prohibition of discrimination of any kind in the provision of education at all levels, including higher learning institution. HURUMA CARE DEVELOPMENT , believe that Person with disabilities in all ages and gender shall have the same rights to... Soma zaidi
12 Machi, 2012
Sekta
Sehemu
Arumeru, Arusha, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu