Familia ya mama huyu ambaye ni mjane na mwenye matatizo ya akili anaishi na wanawe wanne akiwa hana msaada. Anaishi kijiji cha Bashay wilaya ya Karatu
14 Septemba, 2012
Huruma Care DevelopmentArumeru, Tanzania |
Familia ya mama huyu ambaye ni mjane na mwenye matatizo ya akili anaishi na wanawe wanne akiwa hana msaada. Anaishi kijiji cha Bashay wilaya ya Karatu
Maoni (2)
Ahsante kwa kuguswa kwako na Mungu Akubariki