Mazoezi ni sehemu ya mafunzo na afya kwa kuwajenga kimwili na kiakili. Watoto wa HUCADE wakiwa uwanjani kwa ajili ya mazoezi ya viungo
Watoto wakiwa pamoja na mwalimu na mkurugenzi wao wa HUCADE katika jengo la darasa ambalo halijakamilika
Hili ni mwonekano wa jengo la kituo cha watoto cha HUCADE kwa upande wa mbele
Huyu ni kilema wa macho ambaye nyumba yake ilianguka kutokana na mvua nyingi na kupata msaada wa hifadhi katika kituo chetu hadi sasa kwani ameshindwa kabisa kujenga nyumba na pia ana watoto watatu ambapo mmoja kituo kinamsomesha
Watoto yatima wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa kanisa la KKKKT usharika wa Ilboru mtaa wa Tumaini.
Young boy Gabriel was born a twin and while his brother is fully healthy Gabriel struggles with increase of water in the head and needs operation.
watoto wa HUCADE wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kugawiwa zawadi
Binti Sandra Omari ni yatima akifurahia zawadi aliyopata kabla hata ya kuifungua