
Stephen na Daniel wakicheza mchezo wa kuigiza

Kellvin, Isaya na Petro wakiwa katika bustani wakipozi kwa furaha

Edison mlemavu wa akili akimkimbilia mpiga picha ana umri wa miaka 4

Watoto wakiwa katika michezo wakiwa kituoni

Watoto wanafurahia zawadi zao

Michezo ni sehemu kubwa ya maisha ya watoto

Watoto yatima wametokakuchota maji mtoni kutokana na bombakuharibika

watoto wakiwa tayari wamefua nguo zao na kuanza kuzianika