Ni kuelimisha jamii juu ya matatizo mbalimbali yanayoizunguka, kutoa burudani kwa jamii na kutoa ajira na kujiongezea kipato.
Mabadiliko Mapya
HISIA CULTURAL TROUPE imeongeza Habari.
HISIA CULTURAL TROUPE-HCT – February 8, 2017 Iringa – HCT ni asasi iliyosajiliwa na Baraza la sanaa la Taifa (BASATA) kwa usajili namba BST/2365 na inajishughulisha na uelimishaji wa jamii kwa njia ya sanaa za maonyesho. Sanaa hizo ni kama vile maigizo shirikishi, vichekesho,... Soma zaidi
8 Februari, 2017
HISIA CULTURAL TROUPE imehariri ukurasa wa Jitolee.
HISIA kinaomba kupata mfanyakazi wa kujitolea ambaye atatusaidia kufanya shughuli za ukatibu muhtasi. Hatuna malipo yoyote kwa kazi hiyo bali mtu huyo atapata faida ya kufundishwa upigaji wa picha za video, picha za mgando na maswala ya Uigizaji wa filamu. – Aidha kama atakuwa amefanya kazi hiyo kwa uaminifu na uadilifu huenda... Soma zaidi
18 Juni, 2016
HISIA CULTURAL TROUPE imehariri ukurasa wa Miradi.
TUNAENDELEA na mradi wa utengenezaji wa filamu za Kiswahili kwa lengo la kuelimisha jamii yetu lakini tukiwa pia na lengo la kuzitengeneza kwa ajili ya kuinua kipato cha Wanachama (wasanii)
18 Juni, 2016
HISIA CULTURAL TROUPE imeongeza Habari.
HISIA CULTURAL TROUPE ipo katika mchakato wa kuboresha shughuli zake na kuongeza shughuli za uelimishaji rika na nyinginezo za kijamii. Ukiwa kama mwanajamii tunahitaji sana ushauri wako katika kuboresha hilo ambapo kama jina litapitishwa itajulikana kwa jina
... Soma zaidi
8 Agosti, 2015
Tovuti Nyingine
Sekta
Sehemu
IRINGA, Iringa, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
HISIA CULTURAL TROUPE
HISIA ACTIVITIES