Ufugaji nyuki ni miongoni mwa shughuli za kiuchumi katika wilaya ya Bukoba vijijini, kwa kutumia rasilimali mahalia,ni rahisi kupambana na umasikini uliokithili.Mzee William Lwihula katika kata ya Butelenkuzi ni mkulima na mfugaji nyuki mwenye ubunifu wa kupambana na umasikini.
Ibitekerezo (1)