Envaya

large.jpg

October 19, 2013
« Previous Next »

Comments (1)

Hili ni baadhi ya mabanda yaliyoandaliwa kwa ajili ya ufugaji kuku katika mradi wa MAF.Kuku zaidi ya 3000 waligawiwa kwa wakulima waliokuwa tayari kwa ufugaji wa kuku. Hawa ni baadhi ya maafisa kutoka H/M wakijadiliana nanma ya ujenzi wa mabanda bora kwa ajili ya ufugaji bora.
October 19, 2013

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.