Lengo la shirika la FASO ni kuwa mtandao wa vijana wanaojihusisha na kilimo pamoja na biashara. Shirika lina lengo la kuwaelimisha vijana kwa kuwapa elimu ya ujasiriamali na kilimo. Vile vile shirika lina lengo la kutoa ushauri wa kibiashara, kushilikiana na serikari katika mapinduzi ya kilimo Tanzania pamoja na kushiriki katika upandaji miti na elimu ya maambukizi ya Ukimwi.
Mabadiliko Mapya
FUMBUKA AGRO SOLUTION ORGANIZATION imejiunga na Envaya.
29 Oktoba, 2011
Sekta
Sehemu
Moshi, Kilimanjaro, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu