Envaya

Esupati Group

Historia

ARV ESUPATI GROUP ilianzishwa september 2007 ikiwa na wanachama 17 na hadi kufikia mwaka 2010  september kwa sasa ina wanachama 31 lengo la kuanzisha kikundi hiki ni kutoa huduma kwa jamii unaohusu vvu/ ukimwi tumekuwa tukitembelea watu mbalimbali kwenye kaya zao, kuwapa taarifa na kuwashirikisha juu ya umuhimu wa watu kujitokeza kupima vvu / ukimwi.