Log in
The Developing Rural Community Initiative in Tanzania

The Developing Rural Community Initiative in Tanzania

Muheza, Tanzania

KUWATAMBUA NA KUWAORODHESHA WATOTO YATIMA;

DRC-in Tanzania kuanzia tarehe 19/03/ -29/07/2011 tumefanya kazi ya kuwatambua na kuorodhesha watoto 20 walioko katika mazingira hatarishi katika vijiji vya kata ya mkuzi wilaya ya Muheza.tunatarajia kuwapatia msaada wa sare za Shule Pamoja na kuwalipia karo katika kipindi cha 2012 endapo tutakuwa tumepata ufadhili kutoka kwa wadau mbalimbali.